Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Usafirishaji huchukua muda gani?
Siku hiyo hiyo Dar (agiza kabla ya saa 8 mchana). Usiku mmoja mikoani kupitia courier.
Mnatoa marejesho ya pesa?
Hapana — mauzo yote ni ya mwisho. Tunatoa mabadilishano ndani ya siku 3 baada ya kupokelewa, lebo zikiwa zimeambatishwa.
Najuaje saizi yangu?
Tumia ukurasa wetu wa Mwongozo wa Saizi; tunaorodhesha kifua/kiuno/nyonga kwa cm kwa EU 40–54.
Malipo ya awamu yanapatikana?
Ndio, kwenye vipande zaidi ya TZS 250,000, kulipia kwa mwezi 1. Angalia Mauzo & Awamu.
Nalipaje?
Weka oda kwenye tovuti na tunaratibu malipo kupitia WhatsApp — M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au pesa taslimu wakati wa kuchukua.
Vipande ni vya kweli?
Ndio. Vinachaguliwa kwa mkono Istanbul na kukaguliwa kabla ya kukufikia.