Media coming soon
MpyaKutoka Uturuki
Blezari ya Plaidi na Suruali ya Mocha
Takim ya vipande vitatu
375,000 TZSBei isiyobadilika
Awamu 3 ndani ya siku 30 · bila riba
Mauzo yote ni ya mwisho — hatutoi marejesho ya pesa.
- TunaletaSiku hiyohiyo Dar · siku 2–4 mikoani
- Ubadilishaji ndani ya siku 3Bila kuvaliwa, na vitambulisho. Hakuna marejesho.
- Tembelea butikiAzam Ali · Lost Tribes
Maelezo
Takim ya vipande vitatu: blezari ya plaidi yenye mkanda, shati linalolingana, na suruali ya mocha.
Kitambaa
Wool plaid
Tukio
Office / Daywear
Usafirishaji
Siku hiyohiyo Dar kwa zaidi ya TZS 250,000. Siku 2–4 mikoani kwa bei ya kawaida. Kuchukua dukani Azam Ali, Lost Tribes.